Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kuhusu kumla nyumbu kwao haitakuwa Jambo Jipya
Arsenal haikabi kwa kumtegemea Lokonga , Arsenal inakaba kwa structure maalumu either 4-4-2 au 4-4-1-1But liverpool na Chelsea wamefanya panic buys ila kwa mkopo. Ili hata ikifeli hakuna obligation ya kumnunua.
Sisi tumeshindwa hata kumchukua kwa mkopo mtu yoyote wa kucheza CM/DM?
Hii itatu cost na lawama zitaanza jumatatu pale lokonga akidhalilishwa na kina Casemiro na Eriksen!! Tutarudi humu kulalama tena.
Unaisema Manure Ile ya mwaka Jana na mechi mbili za ligi za msimu huu.Man u wanacheza pale Kati na Eriksen na Kiungo mmoja mkabaji either Mactominay au Casemiro , na juu wanakuwa na Bruno Kama namba 10, winga zao huwa sio nzuri ku track back
Maana yake Hawa jamaa Ni rahisi Sana kuwatawala Kiungo na kuwafunga , Kama tutatumia nafasi mapema na kuwavuruga
Silaha yao kuu Ni counter attack
Man u mbele ya Arsenal yenye Martinell , Jesus na Saka kamwe hawez kuanzia mpira nyuma tutamuua
Arsenal tayari tuna system ya kupress zipo mbili ipo ya wanaenda wote watatu wale wa mbele kuwafata mabeki ipo ya pili anaenda mmoja ambaye huwa Ni Jesus huku Saka na Martinell wakiziba njia za mabeki kupiga pass
Hivo Man u lazima atatumia mipira mingi ya kupiga kugombania ,hapa tunatakiwa tuwe vzr kwenye 50/50 za Second ball kuziwin
Hakuna raha kucheza na man u inayomtumia Eriksen ,Bruno na winga zao ambazo hazikabi ,ndio maana game 2 zilizopita pamoja na kucheza na timu za kawaida ,man u amekuwa akikaa nyuma
Kwasababu Kuna watu wao sio wakimbiaji wanapopoteza mpira
Hii naiona Ni advantage kwetu kuitumia
Man u Bado wanakaba kwa individual ndio maana pamoja na kumleta Casemiro Bado wanajikuta wapo kwenye presha hata anapoingia
Arsenal tunakaba kwa structure nzima
MWISHO MAN U SILAHA YAKE KUU NI COUNTER ATTACK HANA KINGINE
One out 15Mikel Arteta kuhusu umuhimu wa kwenda kushinda Old Trafford:
"Sio jambo jipya. Tumelifanya, lazima tulifanye tena.”![]()
Kosa ilikuwa 100% ni la refa. Kwenye movement ya goli hakutakiwa kumuangalia lisemen. Iliudhi sana janaGoli la villa ,referee kapuliza filimbi wachezaji wote wakasimama ,villa wakafunga ,
Man u ya msimu huu na msimu uliopita tofauti yao Ni maingizo ya wachezaji wapyaUnaisema Manure Ile ya mwaka Jana na mechi mbili za ligi za msimu huu.
Mechi tatu wamepress sana japo sio Kwa pace kubwa
Arsenal mmeshinda mechi moja tu za away dhidi ya Manure katika mechi 15 mlizocheza Oldtraford.
Arsenal mmefungwa goli nyingi za away dhidi ya timu 17 zote za EPL isipokuwa Anfield mmefungwa 69 na Oldtraford 49.
Kwa takwimu hizo na form nzuri ya Manure kuanzia game la Liverpool msitambe sana Wala msijipe mahopes mtaadhirika
Mkishinda mechi ya kesho mtakuwa timu ya tano kushinda mechi sita mfululizo za kuanzia EPL
Newcastle x1 (1994/5 Chelsea x2 (204/5 na 2009/10 Mancity x1 ( 2016/17 na Liverpool x2 (2018/19 na 2019/20
Wewe lembu bhana unachekesha SanaOne out 15
Kesho mnashindiliwa
Timu zote mlizozifunga ni ordinary, bado hamjakutana na miamba ya soka
Hapakuwa na haja hata ya kuaangalia var kwa sababu referee kashasimamisha mchezo na wachezaji wakarelax ,wakisubili maelekezo , kumbe hapakuwa na kosa lolote ,ile ni referee mistake ....!Kosa ilikuwa 100% ni la refa. Kwenye movement ya goli hakutakiwa kumuangalia lisemen. Iliudhi sana jana
Kama Villa ordinary bas muulize cityOne out 15
Kesho mnashindiliwa
Timu zote mlizozifunga ni ordinary, bado hamjakutana na miamba ya soka
Just give youself false hopes!Kama Villa ordinary bas muulize city
Kama crystal palace ordinary muulize liver
Southampton kakufanya nini,?
Leeds kakufanya nini?
Hizo ni timu kubwa???
Au chelshit uko alipo, kakutana na timu kubwa ipi?
Ndio maana wanakuita LEMBUA









Arsenyeto mkishinda Leo mniite mbwa nimekaa pale![]()