Ben white
Sambi
Zinchenko
These both they can play where Thomas and Elneny Play.
Shida yenu ni ipi?
Back up players hawezi lipwa pesa yote hiyo hata siku Moja labda akacheze Manchester au Chelsea.
Trust the process, hatuna wengi Ila tunao Bora wa kufanya kinachotakiwa kufanyika
Acheni kulalamika sana watu wanamipango yao huyu Douglas na tilemans tunawez kuwapata kwa bei ndogo sana mwez wa 12
Edu na Arteta wanaelewa wanachofanya,they all need quality and not quantity ndo maana mnaweza kuona wanajua mambo yashachafuka Sokoni lkn bado wanatoa watu nje.
Niles si kiungo Yule?
Azeez si kiungo Yule?
Hector si beki yule kwann ametolewa akabaki Cedric?
Hawa watu wanajua wanachofanya , wanajua mahitaji, wanajua ugumu wanaoupata kwenye kufanya haya bad lucky to us we always drawing imagination and conclude that football management, coaching and playing that game is an easy task