Kuna chombo aliwekewe na martinel akakosa lilikua swala la kugusa tu daah,Every single Arsenal fan can tell you that Bukayo Saka has been at, at most, 60% this season and the absolute mad lad still has 3 assists in 5.
Atakuwa shabiki la nyumbu au cheltako, hao ndio wanaumia sana.Simpatii picha Richard keys anajiskiaje huko alipo, jamaa ushindi wetu una miumiza mpaka hajifichi![]()
Hata martinielli ame improve sana ni mara chache mno anapoteza mpira.Kwa mara nyingine katika mwezi huu nuno anakuwa man of the match; jambo la kujifunza hawa wachezaji wenye umri mdogo wanahitaji game time na muda ku improve; watu walimponda sana Nketiah ila kaja kuwa prove wengi wrong. Same kwa Sambi, badala ya kumpa mchezaji pressure support him esp akiwa na umri mdogo.
Analalamika kwamba tunashangilia sanaAtakuwa shabiki la nyumbu au cheltako, hao ndio wanaumia sana.

Upo dunia ipi ndugu?Tieleman dili ndo limekufa inawezekana tusisajili kabisa