Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukipata matokeo j2 na manure itakuwa "statement " kwa rivals wote kuwa tuko kwenye biashara. Manure huwa ana tabia mbaya kukatisha trend yetu nzuri ya ushindi.
 
Kama ode hatakuwa poa ,dhid ya nyumbu twende na 4-4-2

Kat Saka xhaka samb Martinell

Mbele jesus na nketiah

siku tukicheza na Jesus na nketiah mabek watapata tabu Sana maana wote sio wakusimama
Nketiah Jana kafanya kazi nzuri sana tunampa mpira anaenda nao anatusubiri tuje kupiga pasi

Dogo ame improve Sana , aongeze ufanisi kwenye kufunga tu
 
M kule mbele Sina tabu napo, majembe yapo ya kutosha SR mwenyewe n wa moto
Shida ipo katkat pale bila Partey naona kama tutapata tabu, nyumbu wamebadilika kati wana watu so inaweza kua battle of midfield, tulimuhitaj sana Partey hii mechi
 
Tukipata matokeo j2 na manure itakuwa "statement " kwa rivals wote kuwa tuko kwenye biashara. Manure huwa ana tabia mbaya kukatisha trend yetu nzuri ya ushindi.
misukule ya Arteta ishaanza kuweweseka kila ikifikiria kipigo itakachopata jumapili.
Mkae kwa kutulia zile za mwaka 2011 zinarudiwa tena jumapili ijayo.
Screenshot_20220901_094355.jpg
 
misukule ya Arteta ishaanza kuweweseka kila ikifikiria kipigo itakachopata jumapili.
Mkae kwa kutulia zile za mwaka 2011 zinarudiwa tena jumapili ijayo. View attachment 2341703
Nyie jamaa timu hamna kabisa ,m asajiri ovyo.ovyo ,Kocha wenu hajulikan ana falsafa gani

Mnawaza mech ya jumapili ,wakati leo Leicester anakuvuta shati vzr
 
Every single Arsenal fan can tell you that Bukayo Saka has been at, at most, 60% this season and the absolute mad lad still has 3 assists in 5.
 
Manshit mmejifunzia mpira ukubwani

Miaka 10 nyuma afrika kulikua hakuna shabiki wa hiyo timu

Dogo pita vizuri kwenye jukwaa la wanaume

Manshit mmejifunzia mpira ukubwani

Miaka 10 nyuma afrika kulikua hakuna shabiki wa hiyo timu

Dogo pita vizuri kwenye jukwaa la wanaume
City ndo inawafanya mnaringa saivi...hamuwezi shindana na kaka enuuuu....subirini the red side of Manchester wawaonyeshe kazi
 
Back
Top Bottom