Modern Era inaanzia lini?Who said so .... .... ..... .... ..... amother loser. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Chelsick walisubiri miaka 50 kushinda EPL, Loserfools wanahesabu miaka 17 chacha na ushee bado natafuta records zenu Manure au wewe utwambie mlichubiri miaka mingapi in modern era kama sijakosea more than 25 years. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Wacha ngebe.
Who said so .... .... ..... .... ..... amother loser. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee
...better send the players likizo sasa, ni wakati wa 2nd string nao waonje EPL.
ni hasara hata kwa seasonal ticket holders, wanapoteza train/bus fares bure tu kwenda
kuangalia madudu haya.
Our season is over. Dhana eti Man United wata drop 7points ni ndoto za alinacha.
Tutange msimu ujao sasa, Wenger akitaka kusajili haya, akiamua kuendelea na paukwa pakawa zake,
pouwa vile vile, ...We are Arsenal Together We Stand!
Credits to the team esp Individual players who stood up to be counted, i.e Szczceny, Djourou, Wilshere,
na Theo Walcott...
Hakuna aliyetarajia msimu huu tungekuwa mbele ya Chelsea na Man City wanao fadhiliwa na ma "sugar daddy."
Timu yangu inatakiwa ishinde mechi zote zilizobakia kati ya wiki ijayo na May 1st.
Modern Era inaanzia lini?
Mbu said so....ina maana Mbu ni another loser?!
Arsenal hamna kitu cku hizi....bora nihame
Mkuu tuna advantage ya kupeteza mechi moja
Unaweza ku-search kwenye google mkuu .... .... .... ... .... ... .... ..... lakini hasa kwa kipindi tangu world war II ilipokwisha, inaonekane ukame wa miaka 25+ huwezi kuukubali.
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkuu angalia mpo nafasi ya ngapi kabla hujaja kusema hadithi za Abunuwasi na Bulicheka Chelsick is the only loser so far tena peasants huwa wanakimbia mambo yakibadilika. Mlililia ubingwa sana mwezi November chacha mnakimbia hata CL mnaanza kuikimbia khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mbu alikuwa hajaangalia mechi ngapi zilizobaki na hakuona kwamba tuna one match advantage week hii ..... ..... ... at the moment Manure wana advantage ya point moja as far as we are concerned chacha angalia Chelsick 4th position ready to battle for Europa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee next time mtasubiri miaka 100. Vipi Rev. Kishoka na masanilo walikubali uingie kwenye maombi kwenye cowshed?
Khe khe khe kheeeeeeeeeeee tutakuwaje hamna kitu wakati timu zote zinaweweseka kwa sababu tupo kwenye position ya ku-compete kwenye championship? Hama tu mkuu ulipojiunga Arsenal hawakukupa kadi, ndio uzuri wa kuwa armchair supporter.
Sawa mkuu tupo pamoja lakini usisahau mwaka huu mkwaruzo huko chini haujulikani hivyo all to play for until its over ... ..... .
Mbu said so....ina maana Mbu ni another loser?!
...ha ha ha, huwezi kutugombanisha na Wacha bana,...Arsenal - Together We Stand.
Kila Jukwaa lina Motivators wake, Wacha ndio kinara hapa kama wewe Peasant ulivyo Chelski,
na Eqlypz wa Manure.
Bila nyie labda majukwaa yangeshaorora haya.
Si unaona Rev Kishoka na mapema alishatoa "sacramenti ya mwisho" kwa Chelsea,
kipindi kile Bundi anatamia mayai Darajani?
Tulishinda FA Cup 1948 (Miaka mitatu baada ya WW2 kuisha), First Division 1952 (Miaka saba).Unaweza ku-search kwenye google mkuu .... .... .... ... .... ... .... ..... lakini hasa kwa kipindi tangu world war II ilipokwisha, inaonekane ukame wa miaka 25+ huwezi kuukubali.
Tulishinda FA Cup 1948 (Miaka mitatu baada ya WW2 kuisha), First Division 1952 (Miaka saba).
Hii ni thread ya Arsenal siwezi kuja na kuanza kuweka full history ya Manchester United, ila kama unataka niweke wewe sema tu.Eqlypz mbona unagwaya kuendelea khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hii ni thread ya Arsenal siwezi kuja na kuanza kuweka full history ya Manchester United, ila kama unataka niweke wewe sema tu.
By the way difference ya kutoka 1948 - 1952 ni miaka minne, sasa hiyo 25+ years yako baada ya WW2 ina maana ni mpaka 1970 lete piece of evidence ya kuonyesha kuwa we went 25+ years without a trophy baada ya WW2.
Busby Era imeanza 1945 mpaka 1969.
Achana naye huyo utapoteza nguvu nyingi kumuelewesha bila mafanikio, let Wacha to be as it is
Second place is a success, says Arsenal boss Arsene Wenger - ESPN Soccernet
Hivi kocha akitoa kauli kama hizi hao wachezaji watapata moyo wa kujituma kweli?
Ndio maana baada ya mechi ya blackburn nikasema tumeanza rasmi pre-season.
.. ... .. .. 'Rather, I have to be proud because if I took statements from all the people here at the start of the season we were not even in the top five. Now it is a scandal we are second. 'If at the end of the season Manchester United are better than us, we have to say congratulations. What is important from now until the end of the season is we give absolutely everything to beat them. That for me is success.'.. .... ..