Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Newcastle hajununua wachezaji wengi msimu huu. Kumbuka alianza kununua msimu uliopita sio wote wameingia mwaka huu. Barcelona ni klabu kubwa ana mercandise za kutosha na viingilio vingi(fanbase kubwa). Wachezaji wengine aliowanunua hajawaingiza rasmi kwenye timu mpaka auze.
Moja ya sheria za FFP ni kuhusu madeni: inatakiwa timu isiwe na madeni mengi yaliyopitiliza muda wa kulipika(overdue payables).
Kuna tofauti kati ya losses zinazoonekana kwenye profit and loss account, na kuwa na madeni yanayopitiliza muda wa kulipika (overdue payables), Wahasibu watanielewa. Unaweza kuwa na amortisation na impairment losses kubwa za wachezaji mwaka huu ukasababishia timu kuwa na losses kwenye P&L; pasipokuwa na overdue payables.
All in all swala la breaking even point linasisitizwa.
Tutaeleweshana taratibu mutaelewa haya mambo ya kiuhasibu.
Tuchukulie mchezaji wetu Pepe kama mfano. Alinunuliwa usd 72m kwa mkataba wa miaka nadhani 4 (not sure); amortisation yake kila mwaka ni usd 18m. Lakini hapa kati kiwango chake kimeshuka sana, kwa hiyo klabu kutakiwa ku- declare impairment loss maybe $15m mwaka wa tatu. Kwa hiyo $33m zitapunguzwa kwenye P&L account.mwaka huo wa tatu in respect of Pepe. Hii ni kwa mchezaji mmoja kwenye timu; na sheria za FFP zinataka kwa kila capitalised player ionyeshwe analysed details kila mwisho wa fy (player identification table)Eg:
alinunuliwa bei gani, ana mkataba wa miaka mingapi, jina lake na tarehe ya kuzaliwa, amortisation brought forward at the end of accounting period, amortisation during the period,impairment cost during the period, disposals (cost and accumulated amortisation) pamoja kuonyesha netbook value (carrying amount); na kwa mchezaji aliyeuzwa ionyeshwe profit/loss