Nimekupata.Hili suala la Partey nadhani wengi wanaliona isipokuwa humu kwa tactico wa JF. Hatuna mid kama Partey sure ila he is not good enough kwa position anayocheza. Jana kakupa kitu, subiri against the better tactical teams utatamani ulie. Against leicester alikuwa na 69% passing accuracy, jana alikuwa na 89% of passing accuracy, where's consistency? Na ndio tatizo la Partey toka kaja Arsenal hanaga Consistency, he can't replicate the same performance week in week out. He lacks IQ
Arteta: "Really pleased, but at the same time there are many areas we can get much better."
Msome huyo mdau anajiita kroenke hype, naona ana idea kama nilichokuwa nakiona, hiyo ilikuwa baada ya game ya jana.View attachment 2330451
Ila unajua namna Palace walikua wanacheza ilikua ngumu timu kupiga pasi kwa usahihi mara zote?
Notice kwamba jana hata Saliba amekua na accuracy ya 100%. Mfano Eze kwenye game yetu atakua na accuracy kubwa ukilinganisha na dhidi ya Liva.
Am simply saying kuna makosa Partey anafanya kwakua timu nzima bado haina fluid movement kwenye kukaba na kushambulia ndiyo maana ubora wake (accuracy) unaonekana kwa baadhi ya timu. Jana pia Arsenal tulikua tunakaba wawili kwa mmoja tofauti na game na Palace.
Mchukue Partey mtupe Chelsea, mtupe United utapata picha