Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Naona fulham wanatafuna karanga mbichi















Wewe nenda Uropa huko ukakutane na wanaume wa Uropa wakushone.Leeds unamshindwa, huko UCL na epl, crabao upo na city, msimu huu msipoumwa Sonoma ,basi tena
Elendele kuumia huko ulipo,ila hatufanani na Maguire hatumuuzi.Nakumbuka hata sisi msimu uliyoisha zile mechi 4 za mwanzo ni ushindi tu, mara tumempiga mtu goli 7 kelele zikawa nyiiiingi kua huu ni msimu wetu, tena tupo na GOAT mwenyewe lazima tuchukue Epl, wazee wa kosi la dunia tukawa ni mkosi kweli duniani ligi inaisha tuko na GD 0.
Ila yote heri tuombe uzima ili tuendelee kupata burudani ya EPL.
Nahisi ilo dili limeshakufaHuyo Tieleman haji tuuu zimebak siku chache au ndio tumeshafunga mahesabu Kwa hao watatu wapya waliokuja?
Huyu bodo last season kama sijakosea alimpiga Roma goal 6 kwa 1 na game iliyofuata akatoa sare sio timu rahisi pia but Arsenal game zote anatakiwa acheze kwa tahadhari hao Zurich siwafahamu ila hao wawili licha hawana squad selection kama yetu but tahadhari muhimuView attachment 2335517
Best wishes Kwa Chama kubwa, hope tutashinda mechi zote na kuongoza Kundi letu. Hapo mgumu labda huyo PSV
COYGS![]()
group la moto ili aseeeeeView attachment 2335517
Best wishes Kwa Chama kubwa, hope tutashinda mechi zote na kuongoza Kundi letu. Hapo mgumu labda huyo PSV
COYGS 💪💪





Though Arsenal ni timu kubwa kuliko hizo, na isitoshe kuja huku ni kama bahati mbaya. We had a chance to make Top 4 but kuumia Kwa Partey na KT ikafanya tuikose.group la moto ili aseeeee
Nasubiri tuje kukudhihirishia how Big we are Kwa kubeba hiki Kikombe.Nyie arsenyeto mmeona kundi lenu la kifo huko futuhi
Timu hata kombe la UROPA haina si laana hii![]()
Mkuu uliwezaje kushabikia hii timu aisee mbona hufanani na hii timu miaka 18 sasa bila epl arsenyeto bana 😂😂😂Nasubiri tuje kukudhihirishia how Big we are Kwa kubeba hiki Kikombe.
Nimeishuhudia Arsenal ikiimarika siku hadi siku tangu tumeanza Preseason, nikuhakikishie ndugu Mjumbe, this could be our best season💪💪💪💪
Tunaendelea kusuka timu nzuri, yenye kiwango, angalia wastani wa Umri wa Wachezaji wetu tulionao. We have bright future with those kids Infront.Mkuu uliwezaje kushabikia hii timu aisee mbona hufanani na hii timu miaka 18 sasa bila epl arsenyeto bana 😂😂😂
Haiondoi Chelsea Ni klabu ndogoWewe nenda Uropa huko ukakutane na wanaume wa Uropa wakushone.
Sisi Chelsea kombe la Uropa ni dogo sana kwetu, maana mara zote tulizoshiriki tulibeba.
Tena mara ya mwisho nilibeba nikikushona wewe mwenyewe.,
VivaReady for the Match tommorrow against Fulham fc.....
View attachment 2335909
View attachment 2335910