Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger tried to sign Jesus and Neto when they were each 17 😭
IMG_20220823_144050.jpg
IMG_20220823_144059.jpg
 
🚨 Inatarajiwa kwamba Leicester itapunguza bei kwa Tielemans kufanya uhamisho uwezekane. Arsenal wanavutiwa zaidi. Mchezaji ni mtulivu kwani anajua yuko kwenye nafasi nzuri ya kuhama

(@nieuwsbladsport )- Reliable
 
Nyie ma arse8 na nyie munataka ubingwa? Mechi Tatu za mwanzo mlizoshinda zinawapa kiburi ee..

Eti na nyie saiv munajiita mabingwa watarajiwa. ..dah haya maisha haya..
 
Nyie ma arse8 na nyie munataka ubingwa? Mechi Tatu za mwanzo mlizoshinda zinawapa kiburi ee..

Eti na nyie saiv munajiita mabingwa watarajiwa. ..dah haya maisha haya..

Tulia dogo, nasikia mnamtaka Aubameyang, timu haijengwi na wachezaji ambao wanajivunia their past glories. Angalia kinachomtesa Man United. ETH anatakiwa kufanya maamuzi aliyoyafanya Arteta kwa Laca na Auba
 
❗️🥇Arsenal could be priced out of a move for Pedro Neto. [standard]
 
Negotiations ongoing between OGC Nice and Arsenal for Nicolas Pépé - been told buy option currently not included, could be simple loan until June 2023 but all parties in talks, it’s still open. #AFC

Optimism also on clubs side, but Pépé’s salary is being discussed. https://t.co/EYXFBEIV1c
 
Tulia dogo, nasikia mnamtaka Aubameyang, timu haijengwi na wachezaji ambao wanajivunia their past glories. Angalia kinachomtesa Man United. ETH anatakiwa kufanya maamuzi aliyoyafanya Arteta kwa Laca na Auba
100%
 
Inatarajiwa kwamba Leicester itapunguza bei kwa Tielemans kufanya uhamisho uwezekane. Arsenal wanavutiwa zaidi. Mchezaji ni mtulivu kwani anajua yuko kwenye nafasi nzuri ya kuhama

(@nieuwsbladsport )- Reliable
Tusipo angalia huyu dogo tuna mkosa, utashangaa katua Anfield pale, maana wale jamaa wamefilisika viungo na dirisha ndo hivi linaishia ishia wanaweza chachuka wakambeba kwa gharama yoyote tukamkosa

Chelewa chelewa utamkuta mwana si wako
 
Liverpool Hana pesa
 
According to @FabrizioRomano,

“Neto is seen as the perfect player for Arsenal by Mikel Arteta & Edu”

Arsenal love Diaby, but he isn’t a priority.

There are ongoing contacts with Pedro Neto’s camp, who is tempted to join the club, but finding an agreement is not easy.

#afc
 
Arsenal wanasema wanafuata sheria za FFP na wanasisitiza kwamba akaunti zao zinazofuata (ambazo Uefa hawajaona) pia zitatii.

Arsenal haijapokea mawasiliano yoyote kutoka UEFA kuhusiana na wasiwasi wowote kuhusu kanuni za FFP.

(@SamJDean - reliable)
 
Tusipo angalia huyu dogo tuna mkosa, utashangaa katua Anfield pale, maana wale jamaa wamefilisika viungo na dirisha ndo hivi linaishia ishia wanaweza chachuka wakambeba kwa gharama yoyote tukamkosa

Chelewa chelewa utamkuta mwana si wako
Tabia za KiWenger bado zipo.
 
Hamis, let me try to explain this in a simple language: the main purpose of introducing FFP evolved from International Accounting Standard IAS 38( accounting for intangible assets).it principally aims at preventing economic doping. Kama tunavyolalamika hapa Kroenke hatoi hela za kununua wachezaji (pengine tunalamika bila kujua) na pengine tunalalamika bila kujua maswala ya uhasibu wa timu za mpira yanakuwaje. Timu za mpira zinatakiwa kujiendesha kutokana na mapato yake (self generated revenues), this is one of the objectives of FFP mengine ikiwa ni transparency, credibility etc.
utaona hapa kwamba wanalenga kuua utegemezi wa wamiliki wa timu kuendesha timu kwa kiwango kikubwa. Ndio maana timu kama Newcastle haijanunua wachezaji wengi.
Newcastle hajanunua wachezaji wengi?

Unaiongeleaje FFP rule na kinachoendelea Barcelona na usajili?
 
Back
Top Bottom