Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Saint Maximin akipata kocha mzuri na timu nzuri, anaweza kuchukua ballon'or. Kylie Walker hana hamu naye
Wachezaji wa namna hio wanakuwa wakali tu kwenye timu ndogo .....

Wakipelekwa timu kubwa huwa wanapoteana kabisa ...
 
Ndo maana mchangiaji amesema akipata kocha mzuri hata Vinicius Junior wa Madrid alikuwa hivyo msimu wake wa kwanza hati wakamtengenezea memes lakini unaona sasa hivi pasi zinavyofika na kufunga.
Itabidi apate kocha mzuri kweli kweli, maana msimu wa 4/3 huu yupo epl.

Ila ni msumbufu mnoo, beki kulala na viatu kwake ni jambo la kawaida. Ana speed, nguvu, boli lipo mguuni, shida hana utulivu, mapepe mengi.
 
Thomas Tuchel ni kama Unai Emery tu, atafukuzwa muda si mrefu, kwenye KO wapo vizuri sana very tactical, ukija kwenye ligi ndio shughuli pevu.
 
“I feel that the possibility of Hector Bellerin joining Barcelona is increasing now…”

[@gerardromero] #afc
 
HII NI BREAKING NEWS

🇧🇪🔴🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Youri #Tielemans stay in #Arsenal’s target lists, ready to make a second bid next week for #LCFC midfielder. As announced yesterday, #Arteta valid the profile & next week will be decisive.
More options for #AFC board: Sandro #Tonali, Moises #Caicedo.
Info x @AbdellahBoulma https://t.co/3Xz3wHoAnb
 
🚨 Arsenal are ready to submit a bid for Youri Tielemans next week. Sandro Tonali and Moisés Caicedo also on Arsenal’s midfielder wishlist. Reports, @sachatavolieri.

Sacha is very reliable.
 
🚨 || Arsenal’s Midfield shortlist options are Tielemans, Tonali or Caicedo whilst the wide targets are Gakpo, Mudryk or Pino [Via - @SachaTavolieri].
 
Yeremy Pino is on the winger shortlist. The move for a winger will be sudden and quick as there is a feeling that a deal is already in the works

(@iemadAFC via @egygoonerpod)

Credit to @AFCWajday for translation https://t.co/y4DtAMmcAS
 
Ninachotaka Kwa Arteta ni ashinde mechi nyingi iwezekanavyo, tena Kwa kutoa burudani. Pia ajitahidi kutumia kikosi vizuri wachezaji wasiumie. Kwa sasa sijali anamsajili nani maana anaonekana kama anajuajua anachofanya hivi....
 
Ninachotaka Kwa Arteta ni ashinde mechi nyingi iwezekanavyo, tena Kwa kutoa burudani. Pia ajitahidi kutumia kikosi vizuri wachezaji wasiumie. Kwa sasa sijali anamsajili nani maana anaonekana kama anajuajua anachofanya hivi....
Edu yuko vizuri, analeta kile kinachotakiwa. Nadhani wanajua wanachokitaka.
 
🚨 Arsenal transfer priority is Pedro Neto. Discussions for over a month - #AFC to Jorge Mendes, Mendes to Wolves. #WWFC don’t plan to sell 22yo winger yet + Arsenal can’t spend excessively so deal not easy. But interest concrete & unanimous @TheAthleticUK
 
Pedro Neto ,Arsenal wanamtumia super agent Mendes kumleta Emirates


Screenshot_20220822-110819.png
 
Kwa Mujibu wa David Onsteirn Wa The Athletic Ambaye ni Mtoa Habari Wa Uhakika Sana..Anasema Arsenal Priority Namba moja ni PEDRO NETO..

Anasema Arsenal Wana mwezi Mmoja Sasa Wanafanya Mazungumzo na Wakala Wake Jorge Mendes na Wolves Kuhusu Uhamisho wa Neto Ingawa Anasema Hii deal sio Rahisi sababu Wolves hawana Mpango wa Kumuuza Summer hii..

My Take..Huyu Ndio Winger Ambaye anaweza Kuja kuwapa Changamoto Martinell na Saka...Neto ni Winger anayeendana na Uchezaji wa Arteta Direct na Hardworking..

Mojawapo ya Deal ya kuombea Kutokea ni Ya Neto Tutakuwa Tumeenea Sana Upande wa Eneo La Winger...Huyu Jamaa Namkubal Vibaya Mnoo...
 
Pedro Neto (Wolves) mnamo Januari 2020: "Nilipokuwa mtoto, timu niliyoipenda sana nchini Uingereza ilikuwa Arsenal. Ikiwa na Arsène Wenger, kando na kushinda mataji, walicheza soka nzuri sana.” [@talkSPORT]
 
Back
Top Bottom