Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,601
- 22,934
Kila Mtu acheze anavyoweza kikubwa point tatu, Sasa unameneji nini domo linakuwa limeshavimba Kwa kichapoKuna jamaa humu alisema tuwaige city ku manage game kwa dakika tisini nadhani naye leo kajifunza hii ni premier league😀
Kuna muda Newcastle 96% city 4%
