Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nketiah hamna kitu mule... Bora ronaldo mzee, cadabra kikongwe kuliko nketiah kijana, huwa namuona ni kama mtu aliyemaliza, hana njaa ya mafanikio,
Kipaji chake nk kkidogo na bado hana jitihada zozote.. Asipojikaza misimu mi3 mbele ategemee kuwa championship huko,vinginevyo kubaki premier ni kutembelea na nyota tu.
FACT kiongozi

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Flano naona umekuja kutusabahi au sio,

Jtatu tafuteni hata sare kwa livakuku, Safari hii mbio za ubingwa Ni Arsenal na Mancity ,

Nguvu tunazo na Nia tunazo,

Nawaombea sare au mushinde jtatu
Sare ya nini?
Liverkuku watubonde tu ili presha iwe kubwa zaidi kwa mashabiki kumtaka Glazer auze timu.
Hapo Glazer atatoa pesa ndefu ya usajili kabla dirisha halijafungwa ili kuwapoza mashabiki wanaomtaka aachie timu.
Akili mtu wangu.
 
This is nothing new from Tottenham. They've played several games in this fashion and won due to a moment of brilliance from Kane/Son.

And then call Conte is genius
Wolves wamepata nafasi nyingi lakini wanashindwa kuzitumia.
Kipindi cha kwanza kinaisha Wolves wana attempts 9 halafu Spurs attempt 0.
 
Ni Marquinhos v Omari Hutchinson katika mechi ya leo ya U21 kati ya Arsenal na Chelsea.

Kijana wetu yuko tayari!🇧🇷💪🏼
 
Wolves wamepata nafasi nyingi lakini wanashindwa kuzitumia.
Kipindi cha kwanza kinaisha Wolves wana attempts 9 halafu Spurs attempt 0.
Halafu Kuna wachambuz kabisa wanakwambia Spurs anagombea Ubingwa

Spursy ukiweza kumeza Zile kaunta zao , wanatia huruma Sana, Wana mipira mirefu kutokea pemben

Nje ya hapo Ni wakawaida

Kaangalie

Everton vs Chelsea na

Chelsea vs spursy

Utaelewa Everton anaweza kupossess mpira kuliko Spursy
Halafu kikos Chao ni kile kile , leo kaingia perisic

Wachezaji wapya wote Ndio sub zao,

Kwahiyo kiuhalisia Spurs Ni ile ile ya msimu uliopita

Wachezaji wao wapya Hakuna aliyeingia first eleven kabisa
 
Unasajili wachezaji nane ili ushinde 1-0 at home. Hii game nilidhani itaisha 1-1
 
Brendan Rogers kuna vitu amecopy kutoka kwa Arteta, Leicester city wanacheza kama Arsenal leo.
 
Sare ya nini?
Liverkuku watubonde tu ili presha iwe kubwa zaidi kwa mashabiki kumtaka Glazer auze timu.
Hapo Glazer atatoa pesa ndefu ya usajili kabla dirisha halijafungwa ili kuwapoza mashabiki wanaomtaka aachie timu.
Akili mtu wangu.
Sawa Dr. Flano 😂🤣
 
Back
Top Bottom