Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,551
- 10,798
Wewe jamaa uko city lakini una tabia za manyumbu. City na arsenal tunaheshimiana na kuuziana wachezaji tangu zamani.ili ujue epl ni Nini subili uone game yenu na bounmounth ,Hilo goli moja unalosema utalitafuta kwa manati![]()
Sasa ona tumewapa tatu.



