Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haya guners naona mpo kwenu leo....nawatakia kila lakheri
 
Cant wt for the 2day's 1st 11....ila golini ndo panatuangusha!!!!!!!!!!
 
kama kawa...Golini kuna Almunia na Sqi ni one of CB!!!! Tutafungwa magoli ya Kiseeeeee*********la sana leo koz ya hawa wapuuzi....benchi sio baya.......Hope Walcott atakimbiza sana.......nawatakia game nzuri kwa Nasri, Wilshere na Song........
 
Arsenal: Almunia, Sagna, Squillaci, Koscielny, Clichy, Song, Wilshere, Walcott, Nasri, Arshavin, van Persie. Subs: Lehmann, Diaby, Fabregas, Rosicky, Eboue, Chamakh, Bendtner.
Blackburn: Robinson, Salgado, Samba, Nelsen, Olsson, Emerton, Jermaine Jones, Phil Jones, Nzonzi, Hoilett, Santa Cruz. Subs: Bunn, Dunn, Rochina, Mwaruwari, Roberts, Hanley, Diouf.
 
kama kawa...Golini kuna Almunia na Sqi ni one of CB!!!! Tutafungwa magoli ya Kiseeeeee*********la sana leo koz ya hawa wapuuzi....benchi sio baya.......Hope Walcott atakimbiza sana.......nawatakia game nzuri kwa Nasri, Wilshere na Song........

Ni ajabu sana kuona Wenger anavyo endekeza makosa yale yale miaka nenda rudi.
 
Ngoja tuwaonyeshe soka hawa vijana wa Blackburn ... ..... ....... ...... .... naona Wenger kaamua super sub Cesc ...... .....

BTW nasikia Manure wamebebwa sana leo .......
 
Ngoja tuwaonyeshe soka hawa vijana wa Blackburn ... ..... ....... ...... .... naona Wenger kaamua super sub Cesc ...... .....

BTW nasikia Manure wamebebwa sana leo .......

Nyie bana, kila Man U akishinda kabebwa........anyway poleni

Naona leo kasi kubwa sana wakuu, bila shaka ushindi mnao and hope this is your season to win the EPL trophy...mna-commitment moja tu ya EPL
 
Song should know that yeye ndo cover ya SQI...koz golini kuna koti..........Any trial inaweza kuwa Goli.....
 
Nyie bana, kila Man U akishinda kabebwa........anyway poleni

Naona leo kasi kubwa sana wakuu, bila shaka ushindi mnao and hope this is your season to win the EPL trophy...mna-commitment moja tu ya EPL

Angalia mpira wewe wacha fujo!
 
Its really a Positive start in this game......Tusiposcore katika hii mood inaweza kutuharibia game nzima.........
 
Tumeanza vizuri lakini ni muhimu tukitumia nafasi zetu hili kupata magoli mapema kuliko kusubiri blackburn wapate goli na kuanza kufukuzia.
 
hawa B'Burn hii sasa ni zaidi ya Physical.......Ni vita hii.......
 
Ebanae Nasri hana headache kweli maana duh ni noma... toeni draw basi kwenye hii mechi.
 
Yaani Sijui tupate chance gani ndo tufunge......??? JW kakosa bonge la chance.......
 
Back
Top Bottom