Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arsenal Inacheza Leo Dunia Nzima Ina Furaha Inasubiri Hii Mechi Kwa Hamu Kubwa Sana..!!
#COYG 🔴⚪
#COYG 🔴⚪
Nyumbu wana mchukua Casemiro
Kauli hizi hazina baraka. Tuwaachie nyumbu.. sisi siku zote tunafuraha.Arsenal Inacheza Leo Dunia Nzima Ina Furaha Inasubiri Hii Mechi Kwa Hamu Kubwa Sana..!!
#COYG 🔴⚪
I got feeling that, leo anaweza aka change kidogoGood morning gunners.
Finally;
MATCHDAY!
Bournemouth
Premier League
7.30 pm ( EAT)
Vitality Stadium.
#COYG #BOUARS #AFC View attachment 2329028
Arteta mgumu sana kuchange kikos, leo Labda kwa RB ataanza na TomiyasuI got feeling that, leo anaweza aka change kidogo
Nketiah or Rowe
bt cyo project ya mda mrefuNi usajili mzuri kwenye kikosi chao.
@allypipi njoo uisikilize hii waliwali AsaniWali inajitoa ufahamu huku.Arsenal Inacheza Leo Dunia Nzima Ina Furaha Inasubiri Hii Mechi Kwa Hamu Kubwa Sana..!!
#COYG![]()
Arsenal invincible timu bora ya dunia iliyomsumbua Madrid![]()




wewe jamaa ni kiboko, ubarikiwe sana uishi maisha marefu ili tuendelee kupata burudani kutoka kwako. Ni kuziba nguo kwa viraka wakati unaendelea kutafuta nguo mpya kabisa..bt cyo project ya mda mrefu
Nketiah hamna kitu mule... Bora ronaldo mzee, cadabra kikongwe kuliko nketiah kijana, huwa namuona ni kama mtu aliyemaliza, hana njaa ya mafanikio,Moja ya players waliotakiwa wawe wamefurumushwa ni huyo Nketiah problem inakuja kwa sasa kumpata forward katika football ya sasa ni ngumu sana that's why Arsenal wakamkimbilia Jesus kwa nguvu zote na ndiye starter wetu kwa sasa Nketiah ni moja ya players ambaye anaamka na mood ya kuplay sio wa kumtegemea katika kila match kama Jesus na Nketiah aendelee kuwa back up ila ameachwa km 100 na Jesus hakuna anachomfikia hata robo na Arsenal haiwezi sajili scorer wa maana tena aje akae benchi au Jesus akae benchi Nketiah atacheza FA na Europa league kwenye stage za mwanzo atasaidia kwa kiasi chake ndio michuano yake licha hapa mwishoni kwenye league aliamka but sio mchezaji wa kukupa results au trophies
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Leo Bournemouth apigwe ngapi?
Binafsi naona 5 (mkono) zitawatosha
Wiki hii naona kapita grupu zote anasfiawewe jamaa ni kiboko, ubarikiwe sana uishi maisha marefu ili tuendelee kupata burudani kutoka kwake.
Naona wiki hii umeamua kuwapunguzia machungu mashabiki wa timu kubwa zote za Epl.
Flano naona umekuja kutusabahi au sio,@allypipi njoo uisikilize hii waliwali AsaniWali inajitoa ufahamu huku.
Inajisahaulisha timu ya furaha dunia nzima ni timu kubwa, timu kongwe, timu ya wanaume Manchester United chini ya Captain la dunia Harry Maguire.