Zaha one of the most difficult wingers in this league to deal with but Ben White got hate for pretty much doing just that
Alipambana Sana ,alimshindwa mara chache sanaWhite cha moto alikipata
Arteta sijui kwa nini anakariri kulia alitakiwa kuanza Tomi na kushoto KT sasa kwa sababu ameshinda mechi 2 na kikosi hiki anaanzisha kikosi kilekile bila kuangalia weakness kwenye game zilizopita.Kikosi Kinachoanza Leo..!! Bournemouth Kazi Wanayo Leo 🔥..!Fabio Vieira Yuko Bench 🔥👌
View attachment 2329550
hawa watu wametoka kwenye majeruhi ya muda mrefu wanatakiwa kuingia tara tibu kikosiniArteta sijui kwa nini anakariri kulia alitakiwa kuanza Tomi na kushoto KT sasa kwa sababu ameshinda mechi 2 na kikosi hiki anaanzisha kikosi kilekile bila kuangalia weakness kwenye game zilizopita.
Kwahiyo wewe na kocha nani anaejua vizuri kikosi chake?Arteta sijui kwa nini anakariri kulia alitakiwa kuanza Tomi na kushoto KT sasa kwa sababu ameshinda mechi 2 na kikosi hiki anaanzisha kikosi kilekile bila kuangalia weakness kwenye game zilizopita.
Huwezi kubadilidha winning timu kizembeArteta sijui kwa nini anakariri kulia alitakiwa kuanza Tomi na kushoto KT sasa kwa sababu ameshinda mechi 2 na kikosi hiki anaanzisha kikosi kilekile bila kuangalia weakness kwenye game zilizopita.