Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

LEO BAADA YA KUONA MAZOEZI HAYA AMBAYO ARTETA ALIWAPA WACHEZAJI

NDIO NIMEKUMBUKA MANENO YA KYLE WALKER

Kyle Walker aliwahi kuulizwa mchezaji mwenye kipaji cha ufundi(Gifted Technically) zaidi ndani ya Man City: alisema

“Sitapanga kwa mpangilio wowote, ila Hawa watatu kwangu ndi bora nao ni Zinchenko, Mahrez & Silva. Wanagusa moja mbili wanaachia, . Kuna De Bruyne, Foden, Cancelo, lakini hawawakaribii hao watatu.
Nimeangalia clip za mazoez leo

Huyo zinchenko ni nuksi nuksi nuksi

 
Kyle Walker on the most technically gifted player at Man City: “Not in any order, my top three are Zinchenko, Mahrez & Silva. Two touches, head tennis, so good. You’re leaving De Bruyne out, Foden, Cancelo, but they don’t come close to those three.” [@MichaelTimbs YouTube]
 
Hapa HATUTAKI kupoteza point hata 1 , mbeleni tutajua itakuwaje
FB_IMG_1660628982499.jpg
 
Most xG created so far this season:

◎ Arsenal - 4.56
◎ Liverpool - 4.44
◎ Chelsea - 3.99

Now tupo fine kwenye final 3rd, sio km kipindi cha Lacazette, at least we can score 5 goals in every 10 chances we create.
 
Most xG created so far this season:

◎ Arsenal - 4.56
◎ Liverpool - 4.44
◎ Chelsea - 3.99

Now tupo fine kwenye final 3rd, sio km kipindi cha Lacazette, at least we can score 5 goals in every 10 chances we create.
Ina maana tuna 0.5 Xg in every single chance, wakati penalty ina 0.7xg, so kila chance kwetu ni kama penalty tu, Mikel Arteta is genius.
 
nimejipa homework kumfatilia nketiah,the guy ni natural striker kabisa kuna muda baadhi ya game awe anaanza.movements zake,positioning,runnings zake kwenye kumi na nane na namna anavyoscore the guy is totally number 9(in my view).

its up to arteta whether kill him(kwa bench na few minutes) au amfanye kuwa target man wake.the guy is a killer ila anahitaji mental maturity tu.na hii ataipata kwa experience uwanjani jinsi anavyobebeshwa majukumu na jinsi kocha anavyoongea nae on and off the pitch
 
Binafsi naziogopa Newcastle away, Brentford away, Spurs away, West ham wanakuwaga tafu ila watakufa. Kama tunampata Tielemans + RW nadhani confidence itaongezeka.
hizo timu ulizotaja mimi naziogopa zaidi brentford,westham na spurs hasahasa namna zinavyo excute maelekezo ya walimu wao.hawakubali hata kidogo kwenda na rhythm ya mpinzan wao.
 
Back
Top Bottom