Hivi nyie nyumbu, cheltako na manshit mnaanzaje kumsema G. Jesus? Hivi mnajua kazi anayoifanya?
Hawa wa mashabiki wa manshit wanaongea kwa kuwa washamtoa kwetu, niwaambie tu Guardiola alimhitaji zaidi G. Jesus msimu huu kuliko Haaland. Take my words. Time will tell!
Nyie mashabiki wa nyumbu fc mnaomuongelea G. Jesus mpaka sasa hamna straika kama G. Jesus kwenye timu yao. Time will tell!
Nyie cheltako ndo mnamtegemea Kai Havertz.. mmekuja nanyi kumuongelea G. Jesus.. Hivi mnaijua kazi anayoifanya nyie takataka?
Nawaheshimu mashabiki wa Liverpool, wao wanaelewa soka ndo maana sijawaona wakileta midomo yao humu.
Shida ni hizi timu nyengine zinazojifananisha na kutaka ushindani na sisi.. nawaambia mwaka huu mtapata tabu sana!