Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Natizama kupitia yacine tvNaombeni link wakuu au app ambayo naweza kustream mechi
Nguvu nyingiii bila akili ni burePalace are very physical asee!
Haya ni mawazo kichaa. Kwahiyo mtu akipata tu yellow card atolewe?? Sio kwamba achkue tahadhari??Xhaka anayellow card na hachezagi kwa tahadhari ni rahisi kupewa second yellow,inabidi arteta amtoe second half amuingize Tierney aende left kule halafu Zinchenko amreplace xhaka
London DerbyTougher first half than I anticipated
Subiri mkutane na liverHii ndiyo Arsenal tuliyokuwa tunaimis
Ya namna hiiHii ndiyo Arsenal tuliyokuwa tunaimis


walai mtagongeshwa sana hamna timu hapo yaani kwa jinsi navyoifuatilia hii game mmezidiwa sana na palace sema hawako makini katika Ku score tu mngekuwa mshakula hata 3 .