Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,872
- 1,212
Tulia ulambe dawa!!Uzuri wa mashabiki wa Arsenal ni kwenye ushindi watasifiwa kila mtu hadi waliojenga uwanja lakini vipigo vitakapoanza kuchanganya ndipo mwanzo wa kushikana mashati.
Tulia ulambe dawa!!Uzuri wa mashabiki wa Arsenal ni kwenye ushindi watasifiwa kila mtu hadi waliojenga uwanja lakini vipigo vitakapoanza kuchanganya ndipo mwanzo wa kushikana mashati.
akiumia partey nani atacheza??Arteta hatumii DM ,
RCM NA RW ndio sajiri zilizobaki kufunga dirisha
Endelea kusajiri mabeki zaidi ,Uzuri wa mashabiki wa Arsenal ni kwenye ushindi watasifiwa kila mtu hadi waliojenga uwanja lakini vipigo vitakapoanza kuchanganya ndipo mwanzo wa kushikana mashati.
Ndio Maana elneny aliongezewa mwaka mmoja, Tieleman au paqueta atakuja as no.8
Tukusaidiaje?Jesus mchezaji wa pre season.
Ni wachezaji wetu ulitaka tumsifie cucu?Uzuri wa mashabiki wa Arsenal ni kwenye ushindi watasifiwa kila mtu hadi waliojenga uwanja lakini vipigo vitakapoanza kuchanganya ndipo mwanzo wa kushikana mashati.
Kama tutabeba hizi pointi 18 na zile 3, ni dalili njema mnoo kwenye top 4, japo ni kazi ngumu saanaSIONI WAKUTUZUIA HAPA TUSIBEBE POINT 3
Arsenal’s next six fixtures:
Leicester City H
Bournemouth A
Fulham H
Aston Villa H
Manchester United A
Everton H
#afc
Mechi ya Jana Palace waliwaremba sanaKama tutabeba hizi pointi 18 na zile 3, ni dalili njema mnoo kwenye top 4, japo ni kazi ngumu saana
Nawaonea huruma jesus mmepgwa.Tukusaidiaje?
Wewe ulitaka tuchezaje? Tulicheza unavyotaka wewe wakatufunga 3-0Mechi ya Jana Palace waliwaremba sana
Two chance
Two possible penalties
Arsenal from 40mins onward wachezaji wenu walichoka sana. Mkicheza hivi Kwa timu clinical kule mbele mtabugizwa magoli mengi sana. So don't dream about top 4 now


mpaka hapo nyie ni mnatafuta top 4 tu ..Muache kupigwa nyie kwa kukurela , ije kuwa kwa JesusNawaonea huruma jesus mmepgwa.
Uzuri palace unawajua vzr ,mancity anaachaga point 3 kila msimu HapoKuanzia dakika ya 70 arsenal upepo ulikata kabisa ,na crystal palace walionekana kuwa good physically...
Mbaya zaidi sikuwa naona sub za kuja kuokoa jahazi ,hivi mnajua kuwa huu msimu una sub 5?...kwa muda ule mkikutana na team yenye kikosi kipana wakafanya sub 4 za nguvu milikuwa mnakufa mapema sana ...!
Ngonja niangalie game 5 za mwanzo nitakuja kuwapa mstakabali wa msimu wenu wote ,mpaka hapo nyie ni mnatafuta top 4 tu ..
Usinifanye nichekeMuache kupigwa nyie kwa kukurela , ije kuwa kwa Jesus
Sasa Jana KATIMIZA majukumu vzr
Ndio Maana hakuna mchezaji was arsenal aliyekuwa chini ya kiwango View attachment 2315829
Sub zetuHongereni majirani kwa ushindi hii mechi mmetumia energy kubwa sana hichi kikosi wakikosa wachezaji 2 au 3 basi misiba itaendelea maana kikosi chenu finyu
Mkuu Jesus sio mtu wa kwenda 8 game consecutively,pale city alikuwa anakaa sana bench na ailkuwa akija yupo na morali ,nguvu ,na anaonesha kweli ....Zinchenko mumempata mchezaji hapo. Yuko very fluid. Ila Kwa Jesus msimsifie hata kidogo. Huyo alikuwa bench city Kwa sababu akifufuka anacheza vizuri sana ila akikata fuse mtamchukia sana. Sijui Arteta atafanya Nini ili Jesus awe active msimu wote
Wewe ulitaka wasifike golini ?Usinifanye nicheke
Kuanzia 40 mins wachezaji wote wa Arsenal mlipotea a Hadi mlipofa ya sub.