hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,296
- 26,695
Tutatawanya magoli ,uzuri Jesus anacheza namba zote za mbele ,Jana ilikuwa atoe assist kutokea pembenZinchenko mumempata mchezaji hapo. Yuko very fluid. Ila Kwa Jesus msimsifie hata kidogo. Huyo alikuwa bench city Kwa sababu akifufuka anacheza vizuri sana ila akikata fuse mtamchukia sana. Sijui Arteta atafanya Nini ili Jesus awe active msimu wote
Unawadharau palace Sana, waulize man u na mancity
Kuna mkubwa ataacha point pale ,sio poa wale jamaa
Walianza kutumia nguvu sana

Debutant William Saliba