Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Hayaa we endelea kujadiliKiwango cha timu husika pia ni mhimu kijadiliwe hata kama imeshinda mkuu na si kutanguliza ushabiki mbele hapa, hilo gori la 2 ni makosa ya wazi ya beki.
Hayaa we endelea kujadiliKiwango cha timu husika pia ni mhimu kijadiliwe hata kama imeshinda mkuu na si kutanguliza ushabiki mbele hapa, hilo gori la 2 ni makosa ya wazi ya beki.
Umesahau, kashinda na goli 2-0Palace KAUPIGA MWINGI SANAAA ni vile tu amekosa ukatili mbele ya goli ila wamewapelekea moto sanaa Arsenal ni ileile
Arteta hatumii DM ,wazee tunahitaji kusajili aisee DM RCM na RW la sivyo tusitafute mchawi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Palace KAUPIGA MWINGI SANAAA ni vile tu amekosa ukatili mbele ya goli ila wamewapelekea moto sanaa Arsenal ni ileile

Basi wameshinda Palace.Palace KAUPIGA MWINGI SANAAA ni vile tu amekosa ukatili mbele ya goli ila wamewapelekea moto sanaa Arsenal ni ileile
Usiifananishe Arsenal na vitu vya hovyoHakuna asiemjua Palace alivyo mgumu akiwa home.. kama unabisha waulize City, kisha kawauliza Nyumbu walichokutana nacho..
Ukitaka kujua zaidi, subiri timu yako ikacheze pale!
Acha kula kinyesiCheki hili takataka kichwa imejaa maji tu ..hayo matakataka apo iloyataja Nani wa kuikataa Chelsea wewe? Izo zilikuwa tetesi tu na hakuna mzungumzo yeyote apo
Cry moreArsenyeto bana