Pure Moods
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,252
- 5,381
Bora ligi ianze maana mashabiki wa Arsenal mlianza kunenepa hovyo.
Sub ya parteyBado naona hatuna watu wa maana benchini maingizo mawili mapya yanaitajika
Bado naona hatuna watu wa maana benchini maingizo mawili mapya yanaitajika
Cheki hili takataka kichwa imejaa maji tu ..hayo matakataka apo iloyataja Nani wa kuikataa Chelsea wewe? Izo zilikuwa tetesi tu na hakuna mzungumzo yeyote apoRejected Chelsea list (summer 2022):
1.Gabriel Jesus
2.Richarlison
3.Raphinha
4. Dest
5.Ronaldo
6.Dembele
7.Lewandowski
8. De Ligt
9.Kimpembe
10.Gnabry
11.Ake
12.Lukaku and Broja (their own players😭)
13. De Jong
14. Kounde
15. Auba
Let's all laugh at REJECTION FC😂😂😂😂😂😂
Heshima ya ufunguzi wa EPL 22/23
Burudani ya kutosha sana