hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,671
- 27,565
Cucurella Ni mchezaji wakwaida ,Ni sawa na Nuno Tavares tuliyemtoa mkopo OMUnavyosema wachezaji wanatukataa sijakuelewa kwasababu koulibaly, sterling, Cucurella wamekuja kwetu na frenkie de jong katuchagua over man u