Napitaga kimya kimya mkuu, nasomaga tu maoni hlf napita hivi, kutokana na majukumu yanabana nakua na muda mchache sana wa kuperuzi.Mwamba Mbona sikuoni jukwaa letu ujatoa Maoni yako kuhusu usajili wa koulibaly na sterling na wachezaji tunaohusishwa nao
Safari hii mtaelewa tu ,ngadu kwa ngaduWasindikizaji mnaweza beba FA
Hiyo EPL ni ya Liverpool
Endelea kukalili.Preseason ndio wakati wenu wa kutamba. Tumeshawazoea kila msimu, kuna Ars88 ilikua y moto km ile y kina ozil na sanchaz bado mkaishia matupu,ndio uniambie ya sahz tena kocha mweupe kichwani ....... Arsenal ni ile ile.
zikipelea sana palace anakula 4... niamini mimi!Sijui kwanini arsenyeto uwaga naona timu ya kawaida sana yani.
Prediction
Crystal palace 2 arsenal 0
Kuna watu mna masihara na ligi ya uingereza yan hiki ndio kikosi kikapambane na Chelsea, Liver na Man City kweli? [emoji23][emoji23]Arsenal's possible XI vs Crystal Palace. [sky]
Arsenal's bench will be lit tho with Kieran Tierney, Emile Smith Rowe, Takehiro Tomiyasu and new signing Fabio Vieira no full fit yet
Manure?Top four yangu
1. Liverpoool
2. Chelsea
3. Man City
4. Spurs
5 & 6 wanaweza kugombaniana kati ya Arsenal, Newcastle na West Ham