Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hivi kwanini arsenal wamemuuza yule mtoto omari HutchinsonArsenal youngster Charlie Patino is close to joining Blackpool on loan [@jeorgebird].
itakuwa hakutaka kusaini mkataba na arsenal kwa kutopata uhakika wa fursa, hasa akisikia tunatafuta rb na tayari marquinhos kaja. akaamua arudi chelseaO
Hivi kwanini arsenal wamemuuza yule mtoto omari Hutchinson
Bora wangemshawishi asaini kisha wamtoe kwa mkopoitakuwa hakutaka kusaini mkataba na arsenal kwa kutopata uhakika wa fursa, hasa akisikia tunatafuta rb na tayari marquinhos kaja. akaamua arudi chelsea
yes. Hiyo ingependeza zaidi ila nadhani kuna tusiyoyajua yaliyosababisha hatimae uamuzi ukawa hivyo. Tumtakie tu kila la heri. Simuoni akiwa na maajabu. Amenyanyasa vitoto kama tu kina balogun na nketiah walivyokuwa wakifanya ila ligi kuu si lelemama. Huku kutoboa unahitaji ukakamavu na uthubutu wa ziada pamoja na kuaminika na kocha. Na kwa timu kubwa kocha hana subira sana. Ndio maana kina foden na martinelli ni wachache top teams.Bora wangemshawishi asaini kisha wamtoe kwa mkopo
Dodo aliamua kuondoka baada ya kuona wame msign Marquinos. Ambae anacheza namba moja na HutchsonBora wangemshawishi asaini kisha wamtoe kwa mkopo