makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,800
- 103,788
Ni halafu, na sio harafu. 😂"arsenal ya Sasa Haina uwezo wa kuchukua uefa "
Kwanza kufuzu tu kucheza uefa ni mtihani ,unaongea Nini wewe ...
Harafu unasema unajua football
Ni halafu, na sio harafu. 😂"arsenal ya Sasa Haina uwezo wa kuchukua uefa "
Kwanza kufuzu tu kucheza uefa ni mtihani ,unaongea Nini wewe ...
Harafu unasema unajua football
Hio imetengenezwa asee
Mwamba Mbona sikuoni jukwaa letu ujatoa Maoni yako kuhusu usajili wa koulibaly na sterling na wachezaji tunaohusishwa naoNyie timu ya mabwabwa naona siku zenu za kufurahi na kunenepa zinahesabika sasa.
AsaniWali ni kama Mandonga mtu kazi, maneno mengi halafu mwisho wa msimu wanatolewa kwa KO.Hapo kwenye kuwin CL make kwanza nicheke..Kila nikiona kuna ...buyern munich ,real Madrid , Liverpool, man city , Barcelona,PSG ,atletico Madrid ,.....harafu arsenal na Hawa kina Saka ,ordegad ,martinell ,kupenya mpaka kuchukua CL
![]()