dah! lakini mkuu gonners tunakosa kitu kimoja! leadership !!! namkumbuka sana Veira he was a true camptain!.., wenger imefika kipindi aachane na vitoto anunue hata wachezaji wa 2 experienced .. am sure akidumbukia seria A au ligue ya portugal kule atapata wachezaji wa maana! arsenal sasa tukiwakosa , RVP, febragas, nasri, sagna .. we are done!!
Hivi unakumbuka hawa jamaa walichukua point zote 3 kwenye uwanja mzuri wa EmiratesArsenal boss Arsene Wenger: "It was a game where we need to show lots of character and resilience in a football match which was played on a rugby pitch. It was more about character than football today. It was attack against defence for 90 minutes and in the last 10 minutes it was us who were close to winning the game. We made a massive mistake on the second goal and you cannot afford to do that. But we have shown we are ready to fight."
Wenye wivu wanaonekana wapo nafasi ya chini zaidi ya Arsenal na hawajui watatokaje huko chichi tunafahamu fika jinsi ya kuwapita manure .. ... ... .... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hivi unakumbuka hawa jamaa walichukua point zote 3 kwenye uwanja mzuri wa Emirates
Hiyo comment hapo juu amepost Wacha1,Soma comment yangu 11229 usikurupuke khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
Unaonekana upo kama media ya UK sasa ambao hawakubali kwamba Arsenal wamekuwa transformed under Wenger hata alipofanikiwa bado wanasema wachezaji wale aliwakuta na akitaka mafanikio zaidi lazima anunue wachezaji wa England bila hivyo asifanikiwe kwa udi na uvumba
lakini yule jamaa wa Spurs hata akipoteza ni bahati mbaya au Loserfools wakipoteza haikuwa siku yao. Chelsick ambao chini ya Abraham O Vich wamenunua media yote ya UK na pundits wa sports ndio uchicheme kabisa. Ukiangalia table ni timu ngapi zingependa kuwa in our position. Ukiondoa wachezaji uliowataja hapo juu kila timu kama inakosa mastaa wake 4 au 5 haitakuwa katika hali nzuri. Huyo Viera mbona hata wakati wake kuna mechi tulipoteza soma comment za Wenger kuhusu hilo .... ..... .... ..... ..... https://www.jamiiforums.com/sports-...56188-arsenal-new-era-at-the-emirates-24.html
BTW tulipowafunga Chelsick hamkusema hawana leadership! Phew!
Hivi unakumbuka hawa jamaa walichukua point zote 3 kwenye uwanja mzuri wa Emirates
Namshangaa Wenger anasema uwanja wa West Brom ni kama uwanja Rugby...due to our quick passing flowing football, rugby pitch affects the match outcome.
Ya Emirates yaachie Emirates bana, au hukuona zile comebacks?
Mzee wa Khe khe kheeee sijui ana maoni gani ? namwonea huruma kweli najua hakosi visingizio.
Duh mechi ya jana Man ilicheza hovyo kuliko maelezo tulishinda kwa bahati hasa ukizingatia tulikuwa 10.
Unaonekana upo kama media ya UK sasa ambao hawakubali kwamba Arsenal wamekuwa transformed under Wenger hata alipofanikiwa bado wanasema wachezaji wale aliwakuta na akitaka mafanikio zaidi lazima anunue wachezaji wa England bila hivyo asifanikiwe kwa udi na uvumba
lakini yule jamaa wa Spurs hata akipoteza ni bahati mbaya au Loserfools wakipoteza haikuwa siku yao. Chelsick ambao chini ya Abraham O Vich wamenunua media yote ya UK na pundits wa sports ndio uchicheme kabisa. Ukiangalia table ni timu ngapi zingependa kuwa in our position. Ukiondoa wachezaji uliowataja hapo juu kila timu kama inakosa mastaa wake 4 au 5 haitakuwa katika hali nzuri. Huyo Viera mbona hata wakati wake kuna mechi tulipoteza soma comment za Wenger kuhusu hilo .... ..... .... ..... ..... https://www.jamiiforums.com/sports-...56188-arsenal-new-era-at-the-emirates-24.html
BTW tulipowafunga Chelsick hamkusema hawana leadership! Phew!
Kwa nini Wenger anapata pesa zote hizi kwa mwaka na hakuna vikombe kwa misimu karibu sita mfululizo?
Name........................Club.............................Annual Salary
Arsene Wenger...........Arsenal..........................£6 million
Alex McLeish..............Birmingham....................£2 million
Carlo Ancelotti............Chelsea.........................£6 million
David Moyes..............Everton..........................£3 million
Roberto Mancini..........Manchester City...............£3 million
Alex Ferguson.............Manchester United............£3 million
Alan Pardew...............Newcastle.......................£500k
Avram Grant..............West Ham.......................£1.3 million
Fabio Capello..............Engand...........................£6 million

Timu nyingi zingependa Arsene awe manager wao, analipwa hivyo kutokana na kazi anayofanya na ukiangalia kwa undani timu zote kubwa zina husda na jinsi alivyofanikiwa kuweza kutoka Highbury na kuwa Emirates ambako mafanikio ya vikombe yataanza mwaka huu na EPL. What a way to start! Well wapinzani wetu hawataki kuliona hilo lakini ni ukweli usiojificha. Tangu Jan timu imekuwa ikicheza kila baada ya siku 2/3 kutokana na kushiriki kwenye mashindano yote. Hivi sasa wachezaji wengi watakuwa fresh na utaona moto utakavyolipuka baada ya wiki mbili.
In Wenger we trust.