Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Tumeshabandikwa jingine uzembe wa golikipa kama la kwanza 🙁
Nooooooo....sasa wataacha nitoroke hapa...!!! Inakuwaje hawa vijana...!!!! This is not the gunners i used to know...🙁
Tumeshabandikwa jingine uzembe wa golikipa kama la kwanza 🙁
Tumeshabandikwa jingine uzembe wa golikipa kama la kwanza 🙁
dah! at least Keren Happuch anakuliwazeni hapa. azawaizi hii ni balaa. wakuu mie ningekushaurini mrudi yanga tu.trashy defence wba 2 arsenal 0
upumbavu mtupu.
Nooooooo....sasa wataacha nitoroke hapa...!!! Inakuwaje hawa vijana...!!!! This is not the gunners i used to know...🙁
dah! at least Keren Happuch anakuliwazeni hapa. azawaizi hii ni balaa. wakuu mie ningekushaurini mrudi yanga tu.
Tumeshabandikwa jingine uzembe wa golikipa kama la kwanza 🙁
inabidi mkubali kuspend tu azawaizi misimu mitatu ijayo tutakuoneni mnapapatuana na rovers kwenye relegation zone. Huyu Wenger anafaa kuwa mchumi zaidi kuliko kochaKurudi Yanga tena!? Mhhhh! Mimi na kandambili mbali mbali kabisa
hongereni sana...lol
That is very true KH...it is a different team... thanks to management's bad decisions
Angalau...la kufutia machozi...wakazane sasa waongeze mawili mengine...!!
hongereni, naona ass-shaving kafunga, kwahiyo mnaongoza moja bila sio na bado 20min au sijaielewa post yako?Arshavin 1 haya game on 20 min ... ..