Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
I'm not sure ila nahisi we're not signing Youri Tielemans this window, japo unaweza kuwa sahihi.Swala la Tieleman bado lipo ON, za ndan inasemekana Leicester wanataka £30m ,Arsenal wanapambania Kwanza vipaumbele vyao Kwanza, mwisho Leicester lazima atakuwa na presha hivo ataogopa kumuacha aje aondoke bure ,hivo atamuuza kwa bei ya chini
Kwa Tomiyasu backup yake Arteta alisema ameridhika na Soares ,
Halafu mm naona bajet sio finyu ndio Sababu ya kutafuta versatile players,
Kumbuka Arteta Ni mwanafunz na mfuas wa Pep, hawa wanapenda versatile players pale city karibu 90% Ni versatile players , sio Sababu Ni bajet finyu
Hii Ni mojawapo ya kuwa na depth squad yenye quality,
Arteta huyu huyu ndiye amekuja kuitroduce mfumo wa kuwa na namba 10 wawili ndan , Smith na ode,, hizi Ni ideas za Pep hizi, we
Now anaenda kucheza 4-3-3 yenye
Fabio Partey ode
Mifumo hii au ideas hiz za Arteta kutoka kwa Pep hazitaki Viungo wagumu, zinataka mafundi wakukaa na mpira,
Ndio maana Toreira hawez kucheza chin ya Arteta ,
Mashabik walimtaka Bissouma lkn unaambiwa kwenye Top list ya Arteta waliojuu Ni kina Tieleman ,
Hoja ya Arteta kumuona Soares km backup RB ni political zaidi, vs Man city / Liverpool lazima umkatae. Hana technical consistency, km Tomiyasu akiumia binafsi namuona Saliba #4, White #2.
Kwa kweli lack of technical quality from Soares/ Tavarez/ Holding imetucost Uefa msimu ulioisha.
Thomas Partey is now fully fit and ready for pre-season. Reports, @Charles_Watts.
