ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,457
- 126,653
Pole sana mkuu, kuna watu wanaojua mpira sana, watakuambia wewe huna ujualo mkuu.MAY 22 na pia naapa Mungu yupo next season tutarudi na kauli hizi hizi no way foward wakati Rivals wanaendelea kujaza trophies kwenye Makabati TUKUTANE MAY 22
Ulisema sana toka January, watu wanaona Arteta ni mzuri sana, binafsi hata Emery ana nafuu, ana makombe, ni mshindani...sisi kazi yetu ni kujaribujaribu tu, mara inexperienced coach, wachezaji wa cent tano, utegemee kunyanyua kwapa may. May ni mwezi wa mabingwa...champions play in May...keshokutwa ni ucl, champions tu ndio wanacheza, sisi tutasubiri sana na huyo Arteta.