Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,392
Wolves wameishakinukisha. As it stands Man City ni Bingwa. Leo tunaweza pata magoli ya kutosha
Amefuatia Watford
Hali ni mbaya. Leeds na Newcastle washafumua nyavuImefuata Norwich
Duh hata Kama ni matani umezidisha mkuu! Tutaniane kwa staha mkuu! Mpira ni burudani wakuuNyie mashoga mlitegemea tot atafungwe, Uefa tangu lini wakenda mashoga.
Tatizo wenzako huwa hawakuelewi, naona wako kimyaaEXPERIENCE MATTERS that's it CONTE VS ARTETA at finally mmepata jibu la COMPUTERARSENAL have a good day wana Gunners wote