Man city wamevaa uchizi wa chelsea na liva.
Shots 19
1 on target
Wamerudisha mojaGuardiola atajiona bwege
Wamerudisha moja
Lets take a lesson of how passion and focus can get you things you can only dream of.Bravo City
I said this Tukutane MAY 22Kuna some fans mnatetea ujinga wa Coach bila sababu hao mnaowaita rubbish [emoji1005] players wametuweka 5th position up to now but kuna kitu wamekikosa toka kwa Manager zimebaki 3 games kuqualify champions [emoji471] league why team ianguke namna hii?mind ya wachezaji toka kwa coach ilikuwa ni nini?angalia rivals wetu game ya Liverpool and Arsenal wamepata 4 points sisi 0 points sometimes ni psychology inatakiwa kwa players toka kwa wakubwa bahati mbaya haikwepo na tumeanguka kama mzoga
FACT tumeongea sana mimi na wewe but owners are rubbish [emoji1005]Hakuna timu inachukua makombe kupitia kocha wa senti mbili. Always complaining, I don’t know what people see in him. Too novice, he knows nothing. Huo ndio ukweli mchungu
MAY 22 na pia naapa Mungu yupo next season tutarudi na kauli hizi hizi no way foward wakati Rivals wanaendelea kujaza trophies kwenye Makabati TUKUTANE MAY 22Mimi kama Computerarsenal kuna muda nilihoji Arteta anaweza akatupa big achievements?nikasema I don't see any future kwa Arteta kuwa coach wa Arsenal nikapewa matusi later on nikasema inawezekana ana vision na board ishampa contract nikasema let's see ataleta nini naconclude today result is very painful to Arsenal supporters so I don't know kama kuna fan anaona Spurs atafungwa na Arsenal vs Everton atashinda game yake very painful today