Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Ukubwa wa timu ni nini?Anasema kulingana na ukubwa wa timu
Arsenal alitakiwa kufanya vizuri
Hata kama asinge chukua EPL,vikombe vingine alikuwa na nafasi kubwa ya kuvichukua plus kuwa top three kwenye table sababu ya Kutokuwa na michuano mingi.
Hao burnely,Norwich Watford vikosi vyao haviwezi kulingana na kikosi cha Arsenal hata Kwa squad price tu Arsenal iko juu ya hao
Price ina maana gani kwenye mpira kiufundi? Wachezaji wa timu ipi kati ya Liverpool & United wana price kubwa?
will be decided on the final day...
will be decided on the final Matchday
will be decided on the final Matchday
will be decided on the final Matchday
will be decided on the final Matchday
will be decided on the final Matchday
