Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uzembe ni wetu sisi wenyewe na tunaelekea kujutia if hatutaqualify champions league kuna several games tulizichezea now on tumeingia kwenye mtihani mkubwa for example Arsenal vs Burnley (H) Everton vs Arsenal (A) Southampton vs Arsenal (A)hizi ni baadhi ya games ambazo tumeacha points kifala fala now inatucost licha Newcastle huwa ni kibonde kwetu but kwa sasa football ️ imebadilika let's wait and see
Tunakaribia kujutia
 
KINACHONIFURAHISHA SIO HILO GOLI MLILOTOBOLEWA. NAFURAHISHWA ZAIDI NA BALL POSSESSION YA 75/25
Screenshot_20220516-231529_All%20Goals.jpg
 
Angalia Arteta anavyo gamble, Gabriel out. Second goal is inevitable. Ukiangalia timu ilivyocheza leo, you will be left surprised, how comes we are fifth, tulitakiwa kuwa below tenth
 
Tuliwatahadharisha lakini mkafanya mioyo yenu kuwa migumu
Tuliwaambia kuna Newcastle Larger
Kuna Everton waliobatizwa kwa moto wa Lampard
Hamkusikia
Basi wacha iwe hivyo tu
 
Back
Top Bottom