Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Not a single player on that pitch tonight deserves to play in the champions league. Shambolic performance even with our best attacking players on the pitch we could barely get at Newcastle. The summer is going to be huge for arsenal and if they don’t strengthen then it’s the same story next season and even Conte can't work with such rubbish squad
 
JamiiForums1758708153.jpg
 
Bado nafasi ipo endapo spurs atapigwa na Norwich Arsenal wanahitaji ushindi wowote ,ikitokea spurs wakapata sare dhidi ya Norwich basi itabidi Arsenal washinde magoli 16 kwa bila dhidi ya Everton
Norwich keshashuka daraja wewe anakamilisha ratiba tu,, nyie mbuzi mjiandae Europa tu😂😂😂
 
Mkuu hao players tulionao wametuweka kwenye hii position but my question is kwa nini ups and down wakati wa kutafuta matokeo muhimu?nani wa kulaumiwa?
Wa kulaumiwa ni wewe kwa sababu haujui malengo ya timu.
Kwa mashabiki wengi wa Arsenal kushiriki Europa ni mafanikio makubwa sana kwa timu yao.
Siku nyingi hua nakuambia wewe kwa IQ yako ilivyo kuendelea kuishabikia Arsenal ni kuutia maumivu tu moyo wako bila ya sababu ya msingi.
Hata hili kombe alilolibeba Arteta ni mafanikio makubwa sana kwa mashabiki wa Arsenal.
tapatalk_1487869928_512x288.jpg
 
Kuna some fans mnatetea ujinga wa Coach bila sababu hao mnaowaita rubbish players wametuweka 5th position up to now but kuna kitu wamekikosa toka kwa Manager zimebaki 3 games kuqualify champions league why team ianguke namna hii?mind ya wachezaji toka kwa coach ilikuwa ni nini?angalia rivals wetu game ya Liverpool and Arsenal wamepata 4 points sisi 0 points sometimes ni psychology inatakiwa kwa players toka kwa wakubwa bahati mbaya haikwepo na tumeanguka kama mzoga
 
Wa kulaumiwa ni wewe kwa sababu haujui malengo ya timu.
Kwa mashabiki wengi wa Arsenal kushiriki Europa ni mafanikio makubwa sana kwa timu yao.
Siku nyingi hua nakuambia wewe kwa IQ yako ilivyo kuendelea kuishabikia Arsenal ni kuutia maumivu tu moyo wako bila ya sababu ya msingi.
Hata hili kombe alilolibeba Arteta ni mafanikio makubwa sana kwa mashabiki wa Arsenal. View attachment 2227436
May be inawezekana
 
Hao hao wachezaji unaowadharau wamezifunga Manchester United Chelsea West Ham in a row it means wachezaji ni wazuri wakiamua kuplay good game hii ups and down why inatokea mara kwa mara why?

Mkuu katika timu tatu zilizokusanya points nyingi raundi ya pili baada ya Liverpool ilikuwa inafata Newcastle ukiondoa hizo mechi mbili alizofungwa na Liverpool na city.Newcastle wako njema kaka tuweke ushabiki pembeni me niliuliza mkaniambia hao tunawafungaga tu me nikasema sawa. Newcastle akiwa nyumbani sasa hivi anagawa vipigo tu.sasa sijui mliwazalau?
 
Kuna some fans mnatetea ujinga wa Coach bila sababu hao mnaowaita rubbish players wametuweka 5th position up to now but kuna kitu wamekikosa toka kwa Manager zimebaki 3 games kuqualify champions league why team ianguke namna hii?mind ya wachezaji toka kwa coach ilikuwa ni nini?angalia rivals wetu game ya Liverpool and Arsenal wamepata 4 points sisi 0 points sometimes ni psychology inatakiwa kwa players toka kwa wakubwa bahati mbaya haikwepo na tumeanguka kama mzoga
About psychology? Which psychology?
What would any coach have done better with these boys and the injuries the team faced?
 
Arteta is just a Manager and not owner of this club......Arsenal signing policy has not changed since Wenger era

Arsenal team Owners must change their signing policy on average players
maybe he convinced the owners not to buy because he trusted his squad, that is why I have a bitter attitude towards him
 
Back
Top Bottom