Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukishindwa kuqualify champions [emoji471] league Sunday 22nd Jukwaa lifutwe hili haiwezekani every season tupokee matusi ya rivals wetu na heartbreaking moods Moderator mtafanya kazi yenu Jumapili because Management na board hawapo serious at all kuna fans wanaumia na na wenginekukimbia kuccoment JF na wanajulikana huku wao wanapata mapaund Mamilioni toka kwa Arsenal
 
Ninyi mushajihakikishia ushindi wenu kila msimu Ni kuifunga Chelsea na Man U tu tofauti na apo amuna mipango mingine.
Vile viushindi vyenu viwili vitatu mlivyopata Basi vichwa vikajaa majinna kuona kila kitu kinawezekana. hahaha timu lenu limejaa watoto eti akina saka na nkeita ndio wakacheze UEFA kweli..?? Akina pepe na lokonga hahaha dah hampo serious nyie, hata Europa sidhani Kama mutatoboa makundi.
#CFC💙💙💙
 
Poleni sana najuwa maumivu yenu kwani hata sisi Liverpool tulishapitia haya kipindi tunaletewa wachezaji aina ya Benteke na Lallana eti waje watupe Ubingwa.

Hivyo aina ya wachezaji mulionao mutaishia tu kumtukana Artena lakini kiukweli quality ya wachezaji wenu siyo ya kucheza Timu kama Arsenal.
Boss wenu atoe hela asajili wachezaji wa kuweza kudeliver.
 
Hatuna quality lakini tunachallenge Spurs wenye kane & Son, hatuna quality ila tumeshinda game nyingi EPL ukitoa Liverpool & City, tuache kuwa biased, at times kama hujui unachoandika ni bora kukaa kimya.
 
Nadhani tatizo lipo kwako kuchukulia mambo yote seriously.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…