Tatizo lenu mdomo una waponza baada kushinda vimechi viwili vitatu mkaanza kelele na mahesabu makali ya jinsi mtakavyoenda Uefa mkajisahau kuwa hamna timu ya maana
Sasa hii timu kweli ya kushiriki Uefa jamani au mlikuwa mnaongopeana mtamkumbuka babu wenger pamoja alikuwa anakula vipigo lakini top 4 alikuwa hakosi kila mwaka pia alikuwa na quality player wengi ambao aliuza big team
Leo hii Arsenal hamna hata quality player ambaye anatakiwa na big team mlimbakisha Auba naye kasepa baada ya kuona upumbavu wenu sasa sijui mtapata wapi quality player ikiwa Arteta mwenyewe anajifunzia ukocha kwenu pia timu yenyewe kutoa mpunga wagumu hamna ushawishi kiufupi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.