Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani Arsenal hawajui umuhimu wa games zao to the extent hawana tofauti na Sparta ya kwa Kopa.

Two nil against Newcastle? Hii timu ndiyo ingeenda champions league kweli? Timu ina watu wasiokua hata na desire?

Upuuzi mtupu huu
Huyu Bruno mlifeli wapi
20220516_234659.jpg
 
Hao hao wachezaji unaowadharau wamezifunga Manchester United Chelsea West Ham in a row it means wachezaji ni wazuri wakiamua kuplay good game hii ups and down why inatokea mara kwa mara why?
Game ambayo ilikuwa ngumu tukashinda ni hiyo ya westham tu. Hizo nyingine tulinufaika na ubovu wa timu kwa united na kudharau game kwa Chelsea.
 
Arse8 Hawa kazi Yao ninkusuaga tu makalio ..ngoja nitupie mapichaaa hahahaha
raha sana kuona mashabiki wa AsaniAli wanapata tabu.
Sasa hivi hizi mbuzi zitaanza kutukanana zenyewe kwa zenyewe humu.
Tatizo lao wana midomo sana halafu timu lao ni la michongo.
 
Mimi kama Computerarsenal kuna muda nilihoji Arteta anaweza akatupa big achievements?nikasema I don't see any future kwa Arteta kuwa coach wa Arsenal nikapewa matusi later on nikasema inawezekana ana vision na board ishampa contract nikasema let's see ataleta nini naconclude today result is very painful to Arsenal supporters so I don't know kama kuna fan anaona Spurs atafungwa na Arsenal vs Everton atashinda game yake very painful today
Unamlaumu Arteta kwa wachezaji gani alionao, tunahitaji quality players kwanza. Mpaka hapa kwa msimu huu kajitahidi sana.
 
Tumetupwa nje ya ucl, are we going to attract any top players? I really wanna see how our recruitment team is going to work.

Definitely we'll spend, naona Eddie, Lacca, Pepe, Cedric...all heading out. Unaweza shangaa kwa shock ya kutoingia UCL hata baadhi ya wale tunaowahitaji wakaondoka.
 
raha sana kuona mashabiki wa AsaniAli wanapata tabu.
Sasa hivi hizi mbuzi zitaanza kutukanana zenyewe kwa zenyewe humu.
Tatizo lao wana midomo sana halafu timu lao ni michongo.
Ujue haya matakataka bado ayajakomaa kimpira Basi yataaanza kutukanana muda siyo mrefu😂😂😂 na sisi wakulungwa kazi yetu itakuwa Ni kuchochea tu hahahaha 😂🤣
 
Not dreaming bro, just give Arteta his respect when due. Kwa kikosi hicho alichonacho ulitarajia matokeo gani?? Hata kucheza YUROPA ni achievement kubwa mno kwa kikosi hicho

Smart coach would have understood that this squad could not bring any noticeable achievements, why didn’t he buy players knowing that he had an advantage of playing fewer games than other teams in top six? Nimefurahi we will in europa, vingine tungebebeshwa aibu za kuingia kwenye Guinness book of world records
 
Back
Top Bottom