Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hii TIMU inastahili kuwa zaidi ya hapa ilipo ila imerudishwa nyuma kwa nidhamu za wachezaji.
Haiwezekani Timu ikawa wachezaji wanakula Umeme for fun then wanaangaliwa tu.
Moja kati ya Work Plan za Arteta next season iwe ni Discipline vinginevyo Red Cards zitaendelea kwenye Must Win games.

Newcastle.
Saa 04:00 usiku
St. James' Park
Darren England
EPL 37/38