Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Poleni wana arsenal wenzangu.
Mungu alitusaidia tukashinda game ngumu sana,hata hii tulikuwa tunashinda ila tukazidiwa mbinu kocha alizidiwa mbinu.
Bado tuna nafasi ya top four tuzidi kufanya vyema game zilizosalia.

We are the gunners forever.
 
Ni Refa ndiye katuzidi mbinu
 
Unajiuliza, mchezaji kama Rob ambaye ni senior kabisa, why commit a silly foul wakati unajua kabisa upo kwenye yellow na hii ni game muhimu kuliko zote msimu huu? Nashindwa kuelewa alifikiria nini?

Kwani Arteta huwa haongea DONT'S and DO'S kabla ya game?
Sasa kwa defence ikiyopo kwa games mbili tutarajie ushindi na top four kweli?
 
Cedric nae, kwanini awake mgongo recklessly ndani ya box? It was stupid for a senior player, japo kweli spurs walituzidi kila kitu. Baadhi ya wachezaji wanazidi kutufelisha.
 
Chapati nyingine hii.

Arsenal kajihakikishia kwenda Europa tangu game na Westham.

Angeshinda leo angejihakikishia CL.

Hajashinda anabakiwa na majaribio mawili ili kusecure nafasi ya CL.

Pimbi wewe.
Sawa, kumekucha sasa tunaomba uchambuzi
 
White karudi

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Nashangaa sijui wanapata wapi ujasiri wa kumtaka Jesuse na wachezaji wengine wakubwa wakubwa wakati tunajua hii ni klabu ya kusajili wachezaji wa pound million nane au tisa hivi ..wakisajili juu ya hapo ni lazima wapigwe tu. Angalia kwa pepekalee wamepigwa, lacazete walipigwa ..Yani ni kupigwa tu🤣🤣🤣
 
Poleni wana arsenal wenzangu.
Mungu alitusaidia tukashinda game ngumu sana,hata hii tulikuwa tunashinda ila tukazidiwa mbinu kocha alizidiwa mbinu.
Bado tuna nafasi ya top four tuzidi kufanya vyema game zilizosalia.

We are the gunners forever.
Top foo ya uswahilini labda
 
Arse8 Kama asenyeto ..wazee wa kupakuana tope😂😂😂😂

Munaacha kucheza mupira kisa mumelegea legea 🤣🤣🤣
 
Ukweli Mchungu timu yetu kwenye games za pressure kama ya Jana huwa hatupatagi positive results at all game ya Newcastle nayo ina pressure kubwa kuliko ya jana inafuatia let's wait and see nini kitatokea ila players lazima wajue kuhandle pressure kwenye games kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…