Hakuna Nyumbu mwenye akiliChapati nyingine hii.
Arsenal kajihakikishia kwenda Europa tangu game na Westham.
Angeshinda leo angejihakikishia CL.
Hajashinda anabakiwa na majaribio mawili ili kusecure nafasi ya CL.
Pimbi wewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora hata ya nyumbu kidogo kuliko nyinyi wazee wa clean shit [emoji90].Hakuna Nyumbu mwenye akili
Spurs kwa liver ulichambua sana ukasema technically Liverpool wako insecuredHolding is so bad bro, technically limited huwa silaumu mchezaji kwa mihemko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kisikilizeni hichi kiajuza, kinajipa moyoWe lost a battle but not the war.
Heads up
Punguza kubwabwaja.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora hata ya nyumbu kidogo kuliko nyinyi wazee wa clean shit [emoji90].
Insigne punguza makasiriko tayari mmeshafuzu kwenda Yuefa.
Sijui mlinielewa lakini nilichokuwa namaanisha?Hamna uweza wa kumfunga spurs nyinyi narudia tena huenda hamjasikia vizuri uwezo wa kumfunga spurs hamna, sijui mmenielewa lakin?
Good boyAcha niache kupost. Last time nimepost sana kabla ya game Crystal Palace walitutandika 3-0. Bad omen.
urudi hapaAnapigwa kama walivyopigwa wengine
#COYG
Arsenal ni Arsenal tuArse so far play well
Golikipa Bora kabisaRamsdale hajadaka penati bado tangu aje Arsenal
serious?Mpira kweli umebadilika sana, sijaona kama ile ni penalty.
Arsenal akili hazimo hawaRefa unamtukana bure tu, cedric amefanya upumbavu mwenyewe.
Hapa katikati hawa watoto wenu walipunguza ujinga wa kucheza rafu za hivyohovyo na kula kadi nyekundu, ila mechi ya leo kwa hizi rafu za kipumbavu anazochezea Son sidhani kama mtakosa kadi nyekundu.