True ila hana akili ya kukabaAlitakiwa aanze na Tavarez sioni afya ya kuanza Cedric kwenye ule upande.Tavarez hua ana energy sana.
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Utaonaje na wewe uko mbali refa pua na mdomo Son kanyimwa kupiga kichwa kwa handball. Ndio maana refa katoa penalty harakaMpira kweli umebadilika sana, sijaona kama ile ni penalty.
Ile nyepesi sana kuwa penati.Refa unamtukana bure tu, cedric amefanya upumbavu mwenyewe.
Hapa katikati hawa watoto wenu walipunguza ujinga wa kucheza rafu za hivyohovyo na kula kadi nyekundu, ila mechi ya leo kwa hizi rafu za kipumbavu anazochezea Son sidhani kama mtakosa kadi nyekundu.
Mechi ya Burnley ni ngumu sana maana wamefufuka na almost wanaondoka kwenye kushuka daraja.Nawakumbusha tena msiposhinda hii game mmekwisha
Spurs game zake mbili ni uji wa mgonjwa
Norwich na Burnley
Sisi Chelsea tuna maji ya kilimanjaro ni kunywa tu
Leicester city na Watford