Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tusipoteze matumaini. Leo na mpaka mwisho wa msimu nampa Arteta support yote.
Arsenal kwenda Europe competition (Europa league)it means hatutapata quality players milele for example Jesus Tielemans hao wote wanasubiri msimu uishe I swear to God kama tutashindwa kuqualify champions league hatutapata hata player mmoja wa maana Aaron Arsenal atakuja na tetesi na zitaishia hivi hivi
 
Arsenal kwenda Europe competition (Europa league)it means hatutapata quality players milele for example Jesus Tielemans hao wote wanasubiri msimu uishe I swear to God kama tutashindwa kuqualify champions league hatutapata hata player mmoja wa maana Aaron Arsenal atakuja na tetesi na zitaishia hivi hivi
nadhani tutaenda champions league
 
Hakuna timu inayocheza mpira wa kihuni inayoweza ku quailify ucl

Spurs maskini wamejikuta tu huruma imewaingia wameamua kupoteza muda kwa back passes, ila wangewaamulia leo wangewapiga hata goli 8.
 
Tukienda CL ndio timu inaweza kuleta high profile players. Hakuna mchezaji mzuri anayetaka kwenda Europa...

Newcastle will be a very difficult opponent, yaani kumfunga Newcastle kwake itakuwa kiunzi kikubwa kuliko tulivyomfunga Chelsea kwake

Leo utaongea sana lakini ubao unasoma 3 bila. Inaonekana msimu huu umemfunga chelsea pekee ake
 
Niwakumbushe tena mkifungwa hii mechi
Mbele mna Necastle larger na Everton iliyobatizwa kwa moto wa Lamparf

Spurs game zake mbili ni uji wa mgonjwa
Norwich na Burnley

Sisi Chelsea tuna maji ya kilimanjaro ni kunywa tu
Leicester city na Watford
 
Sisi Chelsea hawa kwenye ligi tuliwafunga 5-0 ndani nje
Karabao 3-0 ndani nje
 
I still trust Arteta even if we miss a chance in ucl
Kocha hana shida ila baadhi ya wachezaji wamepitwa na muda, lacazette, Holding, Cedric hawatakiwi kucheza Arsenal, they are shit. Tavares bado mdogo apewe muda ajifunze. Individuals errors za Cedric & Holding zimetunyima control ya mchezo ndo mambo mengine mengi yameingia hapo kati na Spurs wamecapitalize.
 
Tunaenda kuchukua nafasi ya 3
20220512_233107.jpg
 
Back
Top Bottom