Awaiting for the miracle ,I don't think so might happen ,a placed bidding couldn't be enough to have his sign🚨 || The stories of Gabriel Jesus leaving City and joining Arsenal, are true, the talks are really happening [Via - @AndreHernan].
Naona kama anatafuta game time maana striker options za england ni nyingi.Nketiah kuiwakilisha Ghana...
Eddie Nketiah inasemekana ameamua kuiwakilisha timu ya Taifa ya Ghana badala ya England.
Kupigwa na hii timu takataka imekuwa ni fedheha Sana.Uwezo wao ni Nketiah na Xaka waliokupia 4.
Bora wabaki na hao kuliko kupata uwezo wa kuingia Sokoni wakapata wachezaji wa kukupiga 10.
Uwezo wake mdogo uyo, timu ya taifa ya England inaitaji mikiki mikiki.Naona kama anatafuta game time maana striker options za england ni nyingi.
Nyie arse8 kweli hamnazo, usajili wa kulipa kwa mafungu wa pepekalee umewaletea manufaa gani?Wewe kenge wa darajan, unataka tusajiri mchezaji Kama Lukaku anayevuja jasho jaba zima
Upo ktk siku?Nyie arse8 kweli hamnazo, usajili wa kulipa kwa mafungu wa pepekalee umewaletea manufaa gani?
Lukaku anapata namba kabisa apo kwenu nyie matakataka. Sasa uyo mchezaji wenu wa pound 80M ata Norwich apati namba.
Ivi ela ya pepe mumemaliza kulipa?
KUpata vichekesho kma iv bonyeza *flano# kupata zaidKwa masikitiko makubwa nikwambie
Bukayo Saka na Gabriel Martinelli msimu ujao wanaenda Newcastle,
Emile Rowe na Ødegaard nao kuna club zinazojielewa tayari zimeshatenga fungu nono nyinyi mtabaki na Nketiah aendelee kupata uzoefu kwenye hio Academy yenu.
Ni kweli. Labda tuseme kwa sasa pia, maana anaweza akaimarika akawa matata. Bado mdogo kiumri.Uwezo wake mdogo uyo, timu ya taifa ya England inaitaji mikiki mikiki.
Ben Jacobs anadhani hii signing ni unlikely maana jamaa amekuwa katika form nzuri lately na City watataka abaki City.🚨 || The stories of Gabriel Jesus leaving City and joining Arsenal, are true, the talks are really happening [Via - @AndreHernan].
Atacheza nafasi ya xhaka, yeye na partey ndio wakukinukisha pale CITY CENTRETielemans ni sahihi kwetu lakini? Hakuna mkali zaidi yake kwa bei yake au chini zaidi? Atacover namba ya ODE?
Hivi ni vitu vinarekebishika akitilia maanani maelekezo ya mwalimu.Tieleman akija anatakiwa abadilike , maana without ball yupo ovyo, ninachompendea Ni mtu wa forward pass , ana shot , technically yupo vzr, tatizo lake Ni Hilo tu, Kuna mech unahitaji kuwa compact
Camavinga(japo ngumu kumpata kuliko ngamia kuoenya tundu la sindano)Yea akiwa nje ya box kushuti haoni shida isipokua shot accuracy siyo kubwa.
Ana forward runs na pasi nzuri katika hili namkumbuka Renato. Ukiacha Partey bado hatuna kiungo anayeweza kuzurura kiwanja kizima rumours za Camavinga zilinifurahisha ila ndo vile
Naona tielemans yuko vizuri zaidi.Injury prone ,halafu Ngumu kumpata
Kuna watu wengi tu wapo French ,Italy
Hivi Uchezaji wa locateli na Tieleman wana tofaut gan?
Ila locateli kapotea ,sijamsikia kitambo
Yaan mpaka leo unawasikiliza wachambuzi uchwara wa bongo, asilimia kubwa wanawekana wekana, wanajua jua kidogo kuhusu mpira lakini hawaujui mpira.| " Ni captain wa taifa gani?hilo taifa lina ukubwa gani kimpira?huyo ni midtable player na hawezi wasaidia arsenal chochote,kati ya Odegaard na maddison mi namchukua maddison" -
[George job- mchambuzi wasafi fm,7 Dec 2021]
View attachment 2217897
View attachment 2217899
View attachment 2217901
Kuna kipindi alionesha onesha, ila Waingereza huwa siwaaminjMadder mtu sana sema ile Bei hapana aisee
Mm naona bado tunamuhitaji madder,
Sema wachambuz wa bongo wapo too negative sana, Mtu Kama Tomiyasu alipondwa sana
Nahisi ile arsenal ya kina Thierry Henry iliwahi kutokea hii.Hiyo mechi ya Alhamis dhidi ya spurs tukishinda basi kila kitu kinakua kimeisha, hakuna atakayeshinda kutufikia hapo kwa walio chini.
Its the reason wanasema Arsenal tutaenda kujitangazia nafasi ya cl kwa mtani wa jadi spurs ikiwa tutamfunga
Huyu hayupo sawa kiakili kwa sasa, huu mpira alikuwa anadrible huku macho yapo chini.Arteta on this incident:
Probably when you see that he has an empty net in front of him and he is taking a touch backwards we could not really understand. But you have to have the perception of the player in that moment, they are the ones who make the decision.
Arteta: Fortunately we didn't need that goal.
View attachment 2218068
Huyu kuna kipindi tulimtaka kipindi kashindwana na PSGAtafutwe Adrien Rabiot aje hapo. Mid itakua imetiwa nati na inatembea
Sio anapata tabu ni HAWEZI KABISA.Tielemans yuko vizuri defensively? Au atakuwa anawaachia jukumu hilo tom na tomi? Uzuri wa hii ni kupata option ya kurudisha mpira kidogo nyuma kwa tielemans au partey mpinzani akipaki basi. Kama atakuwa na maamuzi ya chap na uwezo wa chenga za kasi atakuwa anaweza kudrive na mpira na kushoot au kupenyeza pass, kitu ambacho wakati mwingine xhaka anapata taabu akibanwa na maadui