Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,547
- 44,312
Man u ajitahidi mechi ya mwisho ashinde japo sidhani kama anashinda ile game aisee.Naona West ham wanataka kumtoa man u pale alipo aendo conference league😁
Westham ana game 2 mkononi, akishinda moja tu kati ya hizi na man u akapoteza ile ya mwisho ronaldo anaenda conference league 😂😂
Akidroo moja na moja akashinda hapo 100% beki kisiki maguere anaenda conference league😂
