HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Hahahahaha. Jamaa anajisahaulisha majukumu yake. Anazingua sana maana tunataka kujua msimamo wa ligi upoje na yeye ndiyo mwenye jukumu la kutupostia ila hajafanya hiyo kazi. Hafai huyu.Mkuu wengine hatujui msimamo wa ligi ukoje, waga tunakutegemea wewe unaeletaga msimamo humu jukwaani, zimepita siku nyingi tunaona kimya Tu, hebu fanya kazi yako au nini shida?