Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu shtukaaaa. Nlishakwambiaga ndugu yangu. Upumbavu unaambukiza shtuka wewe Gooner shtukaaaa hahahahaahhaha
hahahaha. Huenda akawa ndo chachu ya furaha jubwa moyoni na kunipelekea kuwa na maisha marefu. Au siyo mkuu? Hahahaha
 
Wakati Mungu anataka twende UEFA CL,Sisi tulikua tunakaidi.

Sasa Mungu ameona tutaenda kucheza UEFA CL kilazima.
 
Adjustments.jpg
 
Mungu sio Athumani na ninyi siku moja mtashika moja ya makombe hayo
1651968217262.png
 
It is such a disgrace eti nyinyi mnaenda kucheza uefa halafu totte akacheze yuropa.

Kama mnahisi Liverpool ametoa sare bahati mbaya ya totte subiri mkutane naye
 
Hii inatoka kwa kinabo tuliyempiga 4 - 2.

Hapa ni mawili ama huna akili au hauna kumbukumbu.

Huyo spurs unayesema tukikutana naye mara ya mwisho tunakutana kafa 3 na pale ilikua tuna tabia tukishinda tunarudi nyuma.

Huyo spurs game ya kwanza na liva kasuluhu na tukaona kweli kaimprove. Wiki mbili mbele anatolewa conference league.

Conference league.

Wewe eti unamuwazia awe uefa. Wewe ni kichaa?
 
Lazima akuzabue we jichekeshe tu hapo....
 
It is such a disgrace eti nyinyi mnaenda kucheza uefa halafu totte akacheze yuropa.

Kama mnahisi Liverpool ametoa sare bahati mbaya ya totte subiri mkutane naye
chemistry ya kumfunga spurs tunayo, not a threat. mgumu kidogot tuliobaki naye ni Newcastle na Everton, Sio spurs
 
Back
Top Bottom