Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,094
- 7,464
Sure, ila jana kafanya mazishi, anastahili hizo stats.Nketiah huwa ana magoli mazuri ,
Hivi kwa Jana mfano ile pass ya Elneny , anaipata mtu Kama Jesus , au hata angekuwa Smith Rowe angekuwa anapoza vile ,? Tena mbele ya Zuma
Unakumbuka alivyoingia Smith Rowe alipata mpira kule kule , akafanya skills watu wakashindwa kufinish
Jana ndio nimeamin Kuna muda takwimu hazifai kumdefine mchezaji
Kuna mipira nketiah anapata anawaza kupiga golini tu ,
Anawekewa pass Safi ,yupo na zuma , anapoza Kwanza anasubiri had wengine wanakuja kuziba mianya
View attachment 2208795
Jana nimegundua Nketiah ni outlet player mzuri sana, anadrop hadi karibu na CBs zone anareceive, analink play straight na anaitoa timu from the first line of pressure then chap anamove kuattak the box, oya unyama mwingi.
Kwenye transition dogo ni monster, oya Zuma kapata tabu sana jana Wale kina Cresswell wote hoi.