Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mm hapa nilimuelewa baadae baada ya zile Target kuzikosa akaona Ni Bora asisajiri ilimrad , Bora hiyo hela aiweke aitumie dirisha hiliThe only way we can blame arteta is for not making moves in the last January window which was not also easy but tactically he was phenomenal.
Tumekuwa na kawaida ya kusajiri tu ilimrad kufata mkumbo matokeo yake hao wachezaji wanakuja kuondoka bure
Fikiria umemkosa Dusan na Arthur , halafu unaenda kusajiri watu ili tu kuwafurahisha mashabiki , then dirisha kubwa anashindwa kuongeza watu ,na uliowaleta sio first Target zako,
Mwisho unajikuta unajaza Average players ,